Malezi

Jinsi ya Kuanzisha Kituo cha Kulelea Watoto Yatima na Wasio Jiweza

Makala hii itajadili kwa kina jinsi ya kuanzisha kituo cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza, ni gharama gani zinazohitajika, pia na hatua za kuanzisha.

Changamoto za Malezi ya Watoto

Licha ya jitihada za wazazi na walezi katika kuwalea watoto kwa uangalifu, kuna changamoto nyingi zinazoathiri malezi na makuzi yao kulingana na jamii.